bofya hapa ujionee

Tuesday 5 May 2015

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI JOHN KERRY AZURU SOMARIA

 UTUKUFUHUU.BLOGSPOT.COM

 

 

 

John Kerry azuru mji wa Mogadishu

  • Saa 3 zilizopita
John Kerry azuru Mogadishu
Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry amewasili katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu ambapo anakutana na rais Hassan Sheikh Mohamud,viongozi wa eneo la Afrika mashariki pamoja na mashirika ya kijamii.
Ni waziri wa kwanza wa kigeni kutoka Marekani kuutembelea mji huo.
Kerry hataondoka katika uwanja wa ndege wa mji huo unaolindwa sana.
Rais wa Somalia

 





Wizara ya maswala ya kigeni nchini Marekani inataka kutoa ujumbe kwa kundi la Alshabaab kwamba halipatii kisogo taifa la Somalia.
Marekani imetoa mamia ya madola nchini Somalia katika siku za hivi karibuni.
Ndege zisozokuwa na rubani za Marekani zimewaua viongozi kadhaa wa kundi la Alshabaab. BBC Swahili - John Kerry azuru mji wa Mogadishu  http://bbc.in/1zK0oIl
 
 
 




No comments:

Post a Comment