bofya hapa ujionee

Sunday 10 May 2015

ANGALIA HAPA HATUA ZA KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU KUPITIA BODI YA MIKOPO 2015/2016

ANGALIA HAPA HATUA ZA KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU KUPITIA BODI YA MIKOPO 2015/2016

Habari yenu,leo napenda kuzungumzia jambo moja tu ambalo ni la muhimu kwako wewe kidato cha sita uliemaliza mtihani wako wa kitaifa kuhusu   "MAOMBI YA MKOPO-BODI YA MIKOPO 2015".
Image result for bodi ya mikopo

Jinsi ya kuomba mkopo bodi ya mkopo mwaka 2015 ni rahisi sana
,hii ni kutokana na utaratibu ambao bodi ya mikopo Tanzania  na bodi ya mikopo zanzbar waliuanzisha,kupitia mtandao .

HATUA ZA KUFUATA WAKATI WA KUOMBA MKOPO

1.Wanafunzi wote wenye mpango wa kuomba mkopo bodi ya mikopo 2015/2016 huu mnatakiwa kujisajili online OLAS.HELSB.GO.TZ halafu jaza taarifa  zinazohitajika,baada ya hapo chapisha form hiyo ili uijaze kama inavyotakiwa ,pia bodi ya mikopo inataka ushahidi kutoka kwako kama vile vyeti mbalimbali ni muhimu kuambatanisha ili kuepusha adha iliyotokea mwaka jana ambapo wanafunzi walioomba mkopo bodi ya mikopo 2014, takribani majina 8000 yalitoka ,kwamba wamekosea iliyosababisha hata wanafunzi wengine kukosa mkopo kutoka bodi ya mikopo 2014/2015 baada ya majibu kutoka.

2.Baada ya kujaza fomu ya bodi ya mikopo 2015/2016 uliyodownload kutoka kwenye mtandao wa olas.heslb.go.tz,kinachofuata ni kutuma form hiyo iliyojazwa, ofisi za bodi ya mikopo dar es salaam kwa njia ya EMS 
The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
PLOT No.8 BLOCK NO 46, Service Trade Kijitonyama Ar
ea,
Sam Nujoma Road, Mwenge,
P.O. Box 76068,
DAR ES SALAAM. 
    3.Waombaji wote wa mikopo bodi ya mikopo 2015/2016  wanashauriwa kutunza copy ya form ya mikopo kabla hawajatuma pia wanashauriwa kusoma criteria za kupewa mkopo kabla hawajajaribu ku attemp kitu chochote.
     4.Ili  ufanye yote hapo juu ya kuomba mkopo bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu 2015/2016 inabidi uwe na tshs.30000 kama application fees ambayo utailipia kwa MPESA,TIGO PESA AU AIRTEL MONEY.

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU  2015/2016

Maombi ya mikopo ya elimu ya juu yamefunguliwa tarehe 04/05/2015 na deadline yake itakuwa ni tarehe 30th june 2015,majina yote ya wanafunzi watakao bahatika kupata mkopo yatatangazwa kupitia tovuti ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu 2015.NB HAYA NI MACHACHE KATI YA MENGI  wasiliana nasi kupitia-0768248512/thomaslugoye@gmail.com/ukurasa wetu wa facebook tafuta tu thomas lugoye

No comments:

Post a Comment