bofya hapa ujionee

Monday 14 September 2015

TCU IMETOA MATOKEO YA WATU WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016

Kama kawaida yetu UTUKUFUHUU.BLOGSPOT.COM Tunapenda kuwatarifu kuwa tume ya vyuo vikuu nchini MAARUFU kama TCU imetoa eligibity ya wanafunzi kwenye account zao za TCU tunapenda kuwatarifu kuwa ukihitaji kujua jina lako kama limechaguliwa unatakiwa kufanya mambo yafuatayo tuma index yako ya form four na password uliyoitumia kufanya application kwa mfano s1234/0067/2012 password-hhjlk nasi tutakujulisha kama umechaguliwa chuo chochote miongoni mwa vyuo ulivyoomba au utatakiwa kuomba kwa mara ya pili (second round application) huduma hii itakugharimu tsh-1000 tu ambayo utaituma kwenda namba-0768248512 au tutafute katika ukurasa wetu wa facebook utuachie maswali hapo nasi tutayajibu asanteni kwa kuendelea kutumia UTUKUFUHUU.BLOGSPOT.COM (BY THE ONLY ONE-UTUKUFUHUU-OFFICE)

No comments:

Post a Comment