bofya hapa ujionee

Friday 15 May 2015

BREAKING NEWS !!!!!!!!!!!!!!!!!! TETESI ZA SELECTION/POST KIDATO CHA TANO


 UTUKUFUHUU.BLOGSPOT.COM

Mda mfupi uliopita tumetoka kuonge na idara za ndani na mmoja wa wafanya kazi katika baraza la mitihani NECTA tukujaribu kumhoji juu ya kuchelewa kwa posti za kidato cha  tano kwa mwaka 2015  na akaweza kutueleza kuwa    kuangalia bofya hapo chini
wanaendelea kukamilisha mchakato wa kupanga majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na kuwa mda wowote kuanzia sasa wanaweza  kutoa majina hayo hivyo endelea kututembelea kwenye blog yetu kwani mda wowote tukipata taarifa kamili ya orodha tutaweka punde si punde unaweza wasiliana nasi kupitia thomaslugoye@gmail.com/0768248512/ukurasa wetu wa twitter thomaslugoye/ukurasa wetu wa facebook thomas lugoye.

No comments:

Post a Comment