
Chuo kikuu cha Dodoma UDOM wametoa orodha ya majina ya wanafunzi wanaotakiwa kujiunga na chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2015/2016 first batch to non degree programmes UTUKUFUHUU.BLOGSPOT.COM tunakuletea huduma ya kukuangalizia jina lako kama limo miongoni mwa majina yaliyotolewa na chuo hicho kikuba Africa mashariki na kati cha kufanya fuata yafuatayo tuma jina lako kwenda namba-0673796095/0768248512 mfano MURUTUNGURU-NYAKAHURA nasi tutakujibu ndani ya dk1 moja tu Huduma hii itakugharimu tsh-1000 tu ambayo utaituma kwa M-PESA au TIGO-PESA kwenda namba tajwa hapo juu.
KUONA MAJINA HAYO BOFYA HAPA CHINI
http://www.udom.ac.tz/index.php/list-of-successful-applicants-diploma-certificate?download=314:for-publication-chs-coes
KUDOWNLOAD FORM ZA BIMA YA AFYA KWA MWAKA 2,3 NA4 BOFYA HAPA CHINI
http://www.udom.ac.tz/index.php/taratibu-za-ujazaji-wa-fomu-ya-bima-ya-afya


No comments:
Post a Comment