
Wapiga kura nchini Scotland wamemchagua mwanafunzi wa chuo kikuu kuwa mbunge wao.
Bi
Mhairi Black, alishinda kura za eneo bunge la Paisley and Renfrewshire
South na kumbwaga kigogo wa chama cha Labour aliyekuwa waziri wa maswala
ya kigeni bwana Douglas Alexander.Mbali kuzua mjadala kwa kumbwaga kigogo wa chama cha Leba na kumaliza ukiritimba wa chama cha Leba Bi Black sasa ndiye Mwakilishi wa kwanza katika kipindi cha miaka 70 ambaye si mwanachama wa Leba.

Majuzi hata hivyo mbunge aliyekuwa akitambuliwa kama mchanga zaidi kuchaguliwa alikuwa ni Charles Kennedy wa chama cha Liberal Democrat aliyechaguliwa akiwa na umri wa mia 23.UTUKUFUHUU.BLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment