bofya hapa ujionee

Wednesday 20 May 2015

BREAKING NEWS!!!!!!!WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU MEI 2015/2016


WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU MEI 2015/2016
 ORODHA YA WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJINGA NA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015


Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi limechagua waombaji 2,543 (Me 1,651 na Ke 892) kujiunga na Mafunzo ya Ualimu katika Awamu ya Pili ya Mwaka wa Masomo 2014/2015. Waombaji 1,968 (Me 1226, Ke 742) wamechaguliwa kupitia mfumo wa pamoja wa udahili wa wanachuo (Central Admission System – CAS) na waombaji 575 (Me 425,Ke 150) wamechaguliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Majina ya waliochaguliwa yamewekwa kwenye
tovuti ya NACTE (www.nacte.go.tz) na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (www.moe.go.tz) na yametumwa kwa wakuu wote wa vyuo na maafisa elimu wa mikoa na wilaya.

Waombaji wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya Ualimu vya Butimba, Tabora, Tukuyu, Mpwapwa, Kinampanda, Mhonda, Nachingwea, Singachini na Tandala. Vyuo vingine ni Tarime, Bustani, Marangu, Morogoro, Klerru na Songea. Mafunzo ya Ualimu yataanza tarehe 01/06/2015 au la kama ilivyoelezwa kwenye fomu za maelekezo za chuo husika, hivyo wanachuo wanatakiwa kuanza kuripoti vyuoni kuanzia tarehe 28/05/2015. Fomu za Maelekezo ya Mafunzo (Joining Instructions) yameambatishwa. Pamoja na maelekezo yaliyopo kwenye fomu za kila chuo, mwanachuo anatakiwa kuripoti chuoni akiwa na vyeti halisi vya masomo na kwa ajili ya taratibu za usajili. KAMA UTAHITAJI KUJUA UMEPANGIWA WAPI TUTUMIE JINA LAKO KWENYE NAMBA 0768248512  PAMOJA  NA JOIN INSTRUCTION HUDUMA HII ITAKUGARIMU  tsh-1000  tu ambayo utaituma kwa M-PESA kwenda namba 0768248512  by the only one Bofya hapa kudownload majina hayo na vyuo ulivyopangiwa   

No comments:

Post a Comment