Lugoye thomas ndiye mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Gombe company limited iliyozinduliwa na mheshimiwa naibu waziri wa kazi ajira na vijana -Anthony mavunde katika ukumbi wa theatre 3 coed -UDOM sherehe hizo zilihuzuliwa na watu mashuhuri mbalimbali wakiwemo wachungaji,maaskofu, na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali
Alipoulizwa kuhusiana na kampuni hiyo mbele ya waandishi wa habari mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo Lugoye Thomas aljibu kuwa haikuwa kazi rahisi lakini alithubutu na uthubutu ndiyo uliomthibitisha kuwa yeye ni bora na anastahili kuwa katika hiyo nafasi ya ukurugenzi
Naibu huyo Waziri alitoa ahadi ya kuipatia kampuni hyo msaada wa tsh-1000000 kama pesa ya kuwawezesha kuendesha kampuni hiyo
Awali ya yote Waziri huyo alikuwa akimpongeza kijana huyo kwa kujitoa na kuthubutu kwenye masuala ya uchumi na kuwekeza
Kijana huyo mwenye umri mdogo kabisa sasa anamilik kampuni kubwa kabisa na itakayoinukia kuwa kampuni kubwa katika Taifa hili na anafaa kuigwa na sisi vijana wengine tujifunze kwake.
No comments:
Post a Comment