ANGALIA HAPA HATUA ZA KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU KUPITIA BODI YA MIKOPO 2015/2016
Habari yenu,leo napenda kuzungumzia
jambo moja tu ambalo ni la muhimu kwako wewe kidato cha sita uliemaliza
mtihani wako wa kitaifa kuhusu "MAOMBI YA MKOPO-BODI YA MIKOPO 2015".
Jinsi ya kuomba mkopo bodi ya mkopo mwaka 2015 ni rahisi sana
,hii ni kutokana na utaratibu ambao bodi ya mikopo Tanzania na bodi ya mikopo zanzbar waliuanzisha,kupitia mtandao .
HATUA ZA KUFUATA WAKATI WA KUOMBA MKOPO
1.Wanafunzi wote wenye mpango wa kuomba
mkopo bodi ya mikopo 2015/2016 huu mnatakiwa kujisajili online
OLAS.HELSB.GO.TZ halafu jaza taarifa zinazohitajika,baada ya hapo chapisha
form hiyo ili uijaze kama inavyotakiwa ,pia bodi ya mikopo inataka
ushahidi kutoka kwako kama vile vyeti mbalimbali ni muhimu kuambatanisha ili
kuepusha adha iliyotokea mwaka jana ambapo wanafunzi walioomba mkopo
bodi ya mikopo 2014, takribani majina 8000 yalitoka ,kwamba wamekosea
iliyosababisha hata wanafunzi wengine kukosa mkopo kutoka bodi ya mikopo
2014/2015 baada ya majibu kutoka.
2.Baada ya kujaza fomu ya bodi ya mikopo
2015/2016 uliyodownload kutoka kwenye mtandao wa
olas.heslb.go.tz,kinachofuata ni kutuma form hiyo iliyojazwa, ofisi za bodi ya mikopo dar es
salaam kwa njia ya EMS
The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
PLOT No.8 BLOCK NO 46, Service Trade Kijitonyama Ar
ea,
Sam Nujoma Road, Mwenge,
P.O. Box 76068,
DAR ES SALAAM.
3.Waombaji wote wa mikopo bodi ya
mikopo 2015/2016 wanashauriwa kutunza copy ya form ya mikopo kabla
hawajatuma pia wanashauriwa kusoma criteria za kupewa mkopo kabla
hawajajaribu ku attemp kitu chochote.
4.Ili ufanye yote hapo juu ya
kuomba mkopo bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu 2015/2016
inabidi uwe na tshs.30000 kama application fees ambayo utailipia kwa
MPESA,TIGO PESA AU AIRTEL MONEY.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU 2015/2016
Maombi ya mikopo ya elimu ya juu
yamefunguliwa tarehe 04/05/2015 na deadline yake itakuwa ni tarehe 30th
june 2015,majina yote ya wanafunzi watakao bahatika kupata mkopo
yatatangazwa kupitia tovuti ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu 2015.NB HAYA NI MACHACHE KATI YA MENGI wasiliana nasi kupitia-0768248512/thomaslugoye@gmail.com/ukurasa wetu wa facebook tafuta tu thomas lugoye
No comments:
Post a Comment