WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU MEI 2015/2016 |
ORODHA YA WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJINGA NA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015
tovuti ya NACTE (www.nacte.go.tz) na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (www.moe.go.tz) na yametumwa kwa wakuu wote wa vyuo na maafisa elimu wa mikoa na wilaya. Waombaji wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya Ualimu vya Butimba, Tabora, Tukuyu, Mpwapwa, Kinampanda, Mhonda, Nachingwea, Singachini na Tandala. Vyuo vingine ni Tarime, Bustani, Marangu, Morogoro, Klerru na Songea. Mafunzo ya Ualimu yataanza tarehe 01/06/2015 au la kama ilivyoelezwa kwenye fomu za maelekezo za chuo husika, hivyo wanachuo wanatakiwa kuanza kuripoti vyuoni kuanzia tarehe 28/05/2015. Fomu za Maelekezo ya Mafunzo (Joining Instructions) yameambatishwa. Pamoja na maelekezo yaliyopo kwenye fomu za kila chuo, mwanachuo anatakiwa kuripoti chuoni akiwa na vyeti halisi vya masomo na kwa ajili ya taratibu za usajili. KAMA UTAHITAJI KUJUA UMEPANGIWA WAPI TUTUMIE JINA LAKO KWENYE NAMBA 0768248512 PAMOJA NA JOIN INSTRUCTION HUDUMA HII ITAKUGARIMU tsh-1000 tu ambayo utaituma kwa M-PESA kwenda namba 0768248512 by the only one Bofya hapa kudownload majina hayo na vyuo ulivyopangiwa |
UTUKUFUHUU BLOG KAMA ILIVYO KAWAIDA YETU TUNAKUTANGAZIA KUWA HIVI PUNDE TUTAANZA KUANGALIZIA MAJINA YA WALIOPATA MKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 KUTOKA BODI YA MKOPO PUNDE TU BAADA YA MAJINA KUKAMILISHWA UTAKUWA UKITUMA JINA LAKO eg THOMAS-JUMA(MKOPO) TO 0768248512/0673796095 asante na karibu
bofya hapa ujionee
Wednesday, 20 May 2015
BREAKING NEWS!!!!!!!WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU MEI 2015/2016
Lebo:
UTUKUFUHUU.BLOGSPOT.COM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment