UTUKUFUHUU BLOG KAMA ILIVYO KAWAIDA YETU TUNAKUTANGAZIA KUWA HIVI PUNDE TUTAANZA KUANGALIZIA MAJINA YA WALIOPATA MKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 KUTOKA BODI YA MKOPO PUNDE TU BAADA YA MAJINA KUKAMILISHWA UTAKUWA UKITUMA JINA LAKO eg THOMAS-JUMA(MKOPO) TO 0768248512/0673796095 asante na karibu
bofya hapa ujionee
Saturday, 16 May 2015
BREAKING NEWS TCU WATOA GUIDELINE BOOK KWA AJILI YA MASOMO YA ELIMU YA JUU 2015/2016 HIVYO KAZI KWENU FORM SIX LEAVER NA WENGINE
BREAKING NEWS TCU WATOA GUIDELINE BOOK KWA AJILI YA MASOMO YA ELIMU YA JUU 2015/2016tasisi ya vyuo vikuu Tanzania TCU imetoa kitabu cha muongozo wa kuomba vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kuangalia kitabu hicho bofya hapahttp://www.tcu.go.tz/images/pdf/TCU%20UAGB%202015_Final.pdf
Lebo:
UTUKUFUHUU.BLOGSPOT.COM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment