UTUKUFUHUU BLOG KAMA ILIVYO KAWAIDA YETU TUNAKUTANGAZIA KUWA HIVI PUNDE TUTAANZA KUANGALIZIA MAJINA YA WALIOPATA MKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 KUTOKA BODI YA MKOPO PUNDE TU BAADA YA MAJINA KUKAMILISHWA UTAKUWA UKITUMA JINA LAKO eg THOMAS-JUMA(MKOPO) TO 0768248512/0673796095 asante na karibu
bofya hapa ujionee
Saturday, 2 May 2015
BODI YA MIKOPO YAFUNGUA MAOMBI YA MKOPO 2015/2016
Bodi ya mikopo ya elimu ya imefungua maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu mwaka wa masomo 2015/2016 huku hela ya meals and accomodation ikipanda kuanzia mwaka wa masomo huo ukitaka kusoma vigezo vya maombi ya mkopo kutoka bodi ya mikopo bofya hapa Guidelines for 2015/2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment